Godliver Gordian

Godliver Gordian Instagram – Hey love

BWANA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU..
SIFA NA UTUKUKUFU KUTOKA KINYWANI MWANGU HAZITOSHI KUMUINUA NA KUMTUKUZA KWA AMANI, UWEZA, NGUVU NA MAMLAKA YAKE ALIYOIACHILIA KWANGU.
MOYO WANGU, ROHO NA NAFSI VIKAMSIFU NA KUMTUKUZA KWA UPYA NA UKUU ZAIDI KILA SIKU IITWAYO LEO.
I LOVE YOU MY LORD AND SAVIOR JESUS CHRIST KING OF MY HEART.

Mathayo 10:
32 Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni.

33 Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Si Amani, Bali Upanga.

NAKUTAKIA WIKI YA USHINDI NA UDHIHIRISHO WA NGUVU NA UWEZA WA MUNGU BABA YETU MWEMA NA BWANA WETU YESU KRISTO WA NAZARETH.
.
.
.
Utukufu na Uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth, Mungu aliye hai. Milele na milele. Amina 💖 | Posted on 25/Aug/2025 10:20:00

Godliver Gordian
Godliver Gordian

Check out the latest gallery of Godliver Gordian