Godliver Gordian

Godliver Gordian Instagram – Hey love

1 Petro 1:7 ili kwamba kujaribiwa kwa imani yenu, ambayo ina thamani kuu kuliko dhahabu ipoteayo, ijapokuwa hiyo hujaribiwa kwa moto, kuonekane kuwa kwenye sifa na utukufu na heshima, katika kufunuliwa kwake Yesu Kristo.

WIMBO MPYA WA ✨DHAHABU✨ KUTOKA KWA @neemagospelchoirtz UNAPATIKANA YOUTUBE NA PLATFORM ZOTE ZA MUZIKI..

NIMEVALISHWA NA @secky_land_of_fashions
šŸ“ø @imagestore_12
.
.
.
Utukufu na Uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. AminašŸ’– | Posted on 23/Aug/2025 22:59:13

Godliver Gordian
Godliver Gordian

Check out the latest gallery of Godliver Gordian