Hamisa Mobetto Instagram – Nikisema @yastanzania_ wanakupenda, nazungumza kwa dhati kabisa 💙🎁✨
Hebu fikiria kuwa na smartphone maridadi kwa kianzio cha 35,000 tu. Unachukua simu unaondoka nayo, kisha unalipa 700 tu kwa siku, na bado unapokea MB 100 bure kila siku hadi umalize deni. 💫
Tembelea maduka ya @yastanzania_ ujipatie simu janja mbalimbali kwa bei ndogo sana.
Kwa sababu @yastanzania_ ni wataalamu wa sikukuu, furaha yako inaanzia hapa 📱💙🎁 | Posted on 28/Dec/2025 15:57:39



