Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – This Christmas nimechagua kusuka nywele yetu mpya kutoka @primaafro_hair Ambayo inaitwa “ESSENTIAL” 🎄✨
Ni Rasta maji ya moto
Nzuri yenye kung’aa na mawimbi yake hayatoki 🥰
Kama balozi wa Prima Afro, hii ndiyo choice yangu msimu huu wa sikukuu.
Na wewe pia Sukia ESSENTIAL usherekee Christmas ukiwa Umependeza na mwenye confidence za kutosha.🔥

@primaafro_hair @primaafro_hair | Posted on 25/Dec/2025 14:34:20

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto