Been a while sijawapatia Wema Lovers wangu picha mpya… I hope these will make you happy… Thanks to my Stylist @qfc_looks , You did a Great job my baby… My makeup Artist @cherrysuzie , I dont know wat to say kipenzi… My photographer @chizimapicha, Cant wait for these pics kwakweli… 💋💋💋
Mwisho wa siku Wema wa Mama lazima uonekane tu…. Aluta Continua….. Kanda ya Kaskazini, Tunakuja huko kuona Kazi nzuri alioifanya Namba moja…. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan…. 🥰🥰🥰

Uzinduzi wa Dira 2050… Ustawi wa Pamoja… Cc @petitman_wakuache @wema_wa_mama

Sasa kwanini wameamua kumuita My own wangu tena Kipenseli… Haiya Bwana gani kamuiba…. Out Tomorrow Tune In… 😝😝😝 @luludivatz Link kwa Bio yake… 🥰🥰🥰
Dira 2050… Ustawi wa Pamoja…
I love how you take my Breath away… 🤍🤍🤍
I love how you take my Breath away… 🤍🤍🤍
Im the bravest of hearts, Im the strongest of souls…😌😌😌
I love you Chunk Chunk… @sunnahsepetu
*KILA MTU ANAISHABIKIA* *CCM* *KWA STYLE YAKE* Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi – ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa. Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua. Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi. Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake. Watu wa ‘Reform’ pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua ‘Reform’ wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM. Kelele zote zimekufa za Mahakamani na ‘Reform’ kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI ✅. The Diplomat_Tz 🇹🇿
Hi There…❤️
Dira 2050, Ustawi wa Pamoja… Happening Now in Dodoma… @petitman_wakuache @wema_wa_mama
Majina Yashapokelewa…💚💚💚
Dira Ndio Mpango mzima wa kutufikisha 2050 Dira ndio JIBU la Tunatoboa vipi 2050. Dira Mpango mzima wa Kuifanya BONGO kama ULAYA. Tunaitengeneza Kesho ya Watoto Wetu Ni mpango wa Tanzania tuitakayo. Mustakabali wa Tanzania ya Kesho, unakuja!