Ahsanteni sana wapenzi wangu kwa mapenzi yenu makubwa sana mliyonionyesha na mnayoendelea kunionyesha…. Ahsante Mama yangu kipenzi @mamamawigi wewe kweli ni Mama.. Mnisamahe siwezi pokea simu zote ila kwa kifupi tumepata ajali saa 11,30 alfajir tukiwa tunatoka Dar kwenda Tanga, Hakuna aliyepoteza uhai japo wote tumepata majeraha na kunaendelea na tiba Na kwa wale mnaoniomba niwekee namba kwa kunisupport mnaweza kutumia namba 255716995561 jina Rose Ndauka,.. Kwa atakayeona Pochi nyeusi Ina mistari stari Ina passport,hela pamoja na Simu Iphone 16….tunaomba atupigie kwa namba hiyo Tunapenda kutoa Shukrani za dhati kwa wale Watanzania tusio wafahamu lakini wametusaidia na kuhakikisha tunapata msaada mbarikiwe sana Bila Kusahau Askari police wa Michungwani waliotuokoa na kutupeleka Hospital…

Japo nacheka kwa tabu ila nimejikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja,ila Mama Sasha umesema yoyeeee @iamfaizaally
Ahsante sana dada kipenzi unaroho nzuri kama sura yako,Sina maneno mengi ya kusema ila kwako nadeka kama mtoto wa mwisho barikiwa sana dada ❤️❤️❤️ @esha.s.buheti Ahsanteni watanzania wote mnayoendelea kunisupport, Shukrani zangu za dhati kwenu wote 🙏🙏🙏
Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ,🙏🙏🙏 Mimi na familia yangu @haffiyy @iamrachelndauka @ladiva_geee @esimon.ndauka

Ehee bwana teta nao wanaoteta nami,pigana nao wanaopigana nami,uwashambulie hao wanaonishambulia.. Utwae ngao yako na kingio lako unuke uje unisaidie… Waone haya na waabike hao wanaonyemelea maisha yako.. Njia Yao iwe giza na utelezi…. Ahsanteni wote kwa mapenzi yenu ❤️❤️🙏
Hongerani sana watoto wangu wazuri,washikaji zangu kabisa,Historia imeandikwa,Japo Mum Rose hakushuhudia but we made it 😂😂😂 Mungu aendelee kuwa muongozo kwenye safari yenu, nawapenda sana ❤️❤️❤️

Mtoto wa Uncle Haffiyy na Mom Rose, Hongera tena mwanangu na Mwenyezi Mungu aende kuwa tengemeo lenu kwenye Kila jambo ❤️❤️❤️ @joy_cakezone Ahsante sana @queenfrank_collection ulimtendea haki Bibi harusi wetu ❤️❤️
Hahahahhaha ohooo hajui kuchana basi chana wewe,anipita njia zapanya basi pita na wewe🤣🤣🤣haya jamaniii kama umependa Wig ya Rapper Mama nicheck utoe Oda yako 255766181826 Dressed @isariaclothingboutique Pic @jospy_brand

Jinene ukuu maana tumeambiwa mdomo uumba….wewe unataka kuwa nani ? Beautiful dress @isariaclothingboutique Pic @jospy_brand

Mambo yasiwe mengi karibu sana wapenzi wangu mnipe Oda zenu, nicheck Whatsapp 255766181826
Ahsante Mungu na kazi iendelee,nipe oda 255766181826
Habari wapendwa wangu,ambao mlikuwa mnataka kutoa Oda ya hii nywele karibu sana mnicheck Whatsapp 255766181826
Wale wapenzi wanaoniuliza bado nachukua Oda,ndio karibuni sana tunachukua oda ya dawa Za kupunguza mwili mzima na kitambi pia nicheck Whatsapp 255766181826 Unataka nywele usisite kunicheck kwa Chochote
Haya Toa Oda yako sasa 0766181826 nicheck Whatsapp kwa 300,000/=